GIVE

GIVE
TO US

UHAI inatoa ruzuku 1 katika ya kila 6  ya wachache wa jinsia na na ujinsia ulimwenguni na mfadhili mkuu wa 9 ulimwenguni wa haki za wafanyakazi ya ngono.

Uwekezaji wako unahakikisha kwamba wachache wa ujinsia na ujinsia na jamii za wafanyakazi ya ngono katika Afrika ya Mashariki wanafadhiliwa ili kudumisha vita za kupigania ulimwengu ambao watu wote wanaishi kwa usawa na ustaarabu.

UHAI inapatia jamii za wachache wa ujinsia na ujinsia na wafanyakazi ya ngono wa Afrika Mashariki ufadhili nyumbufu na uwezeshaji wa kimwitikio na kufadhili utafiti, uhusika  na mikutano ya Kiafrika. Kwa kuhusisha wanaharakati wa kijamii katika kuamua utoaji wa ruzuku , mwelekeo wetu kwa mabadiliko ya kijamii unahakikisha kwamba wale wanaoishi kwa kupigania haki wana uwakala wa kufadhili utendaji..

UHAI ni ufadhili wa kwanza na mkubwa zaidi wa Kiafrika unaofadhili haki za wachache wa ujinsia na jinsia na wafanyakazi ya ngono wa Kiafrika,. Tunafadhili upangaji wa mashirika ya kiraia katika Burundi, Ethiopia, Kenya, Rwanda, Tanzania na Uganda na katika  2017  tulianzisha ufadhili kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Ungana na shirika hili ili kupigania usawa katika Afrika ya Mashariki kwa kuendeleza UHAI kwa michango ya kila mwezi. Mchango wako unahakikisha kwamba jamii za wachache wa ujinsia na jinsia na wafanyakazi ya ngono wa Afrika ya Mashariki wanapokea usaidizi wanaohitaji ili kujenga ukakamavu na kuathiri mabadiliko ya kijamii.

Please follow the link below to support us: 

Support