ECHO
THE VOICE
JIUNGE NA UHAI
Katika mika 10 iliyopita UHAIimetoa ruzuku 600 za kiasi cha US $ milioni 9 katika nchi saba. Tunawategenea watu na mashirika ambao tunawafadhili ilikuwa shirika la kifedha endelevu. Mwaka 2019 unaadhimisha miaka 10 ya UHAI kupigana dhidi ya ukosefu wa usawa, ukosefu wa haki na vurugu kupitia kwa ufadhili na upangaji.
Kama heshima kwa maadhimisho ya mwaka wa 10 wa UHAI na utetezi shupavu ambao wabia wetu wa kijamii wamekuwa wakiendeleza katika miaka hiyo, tunazindua kampeni ya uchangishaji fedha ili kuipatia nguvu lengo letu la haki ya kijamii katika miaka 10 ijayo . Tunazindua kampeni ya UHAI@10 : Jibidiishe kwa UHAI/Jibidiishe kwa Haki.
UHAI inapatia jamii tunazohudumia rasilmali za kusukuma mabadiliko na wakati huo kwa umuhimu kujenga uwakala na uongozi wao katika vita vinavyozidi kuhusu usawa na haki ya kijamii . Tuko tayari kuweka miungano ambayo itaimarisha haki za kibinadamu zinazohitajika zaidi kwa watu LGBTIQ na wafanyakazi ya ngono katika Afrika.Ungana na jamii yetu na kuleta tofauti!