Wito wa Maombi ya Ruzuku

Wito wa Maombi ya Ruzuku

 

 

Wapendwa Washirika,

 

Wito wa maombi ya ruzuku kwa awamu ya 15 ya Ruzuku Mahirimu ya UHAI EASHRI-2020 sasa imefunguliwa!

Ili kuwasilisha maombi tafadhali fuata kiungo hiki Swa PGC call 2020 kwa maelezo zaidi kuhusu Ruzuku Mahirimu ya UHAI EASHRI; Vigezo vya Kustahiki, Mchakato wa Maombi ya Ruzuku na jinsi ya kuwasilisha maombi.

Maombi yanaweza kufanywa kwa Kiingereza, Kifaransa au Kiswahili, ambazo ni lugha tatu za utendakazi za UHAI EASHRI

Wito huu uko wazi hadi saa 5:59 saa za Afrika Mashatriki mnamo Jumatano  tarehe 16  Septemba, 2020.