KARIRI SAUTI

ECHO
THE VOICE

JIUNGE NA UHAI

Katika mika 10 iliyopita UHAIimetoa ruzuku 600 za kiasi cha  US $ milioni 9 katika nchi saba. Tunawategenea  watu na mashirika ambao tunawafadhili ilikuwa shirika la kifedha endelevu. Mwaka 2019 unaadhimisha miaka  10  ya UHAI kupigana dhidi ya ukosefu wa usawa, ukosefu wa haki na vurugu kupitia kwa ufadhili na upangaji.

Kama heshima kwa maadhimisho ya mwaka wa 10 wa UHAI na utetezi shupavu ambao wabia wetu wa kijamii wamekuwa wakiendeleza katika miaka hiyo, tunazindua  kampeni ya uchangishaji fedha ili kuipatia nguvu lengo letu la haki ya kijamii katika miaka 10 ijayo . Tunazindua kampeni ya   UHAI@10 : Jibidiishe kwa UHAI/Jibidiishe kwa Haki.

join our community

join our community
  • Join Upcoming Events

UHAI inapatia jamii tunazohudumia rasilmali za kusukuma mabadiliko na wakati huo kwa umuhimu kujenga uwakala na uongozi wao katika vita vinavyozidi kuhusu usawa na haki ya kijamii . Tuko tayari kuweka miungano ambayo itaimarisha haki za kibinadamu zinazohitajika zaidi kwa watu LGBTIQ na wafanyakazi ya ngono katika Afrika.Ungana na jamii yetu na kuleta tofauti!

tab 2
tab 3
tab 4

supporters & collaborators

supporters & collaborators